TRVF Portal ni mfumo wa kidigitali wa Tanzania Rift Valley Field unaorahisisha usimamizi wa taarifa na huduma kwa watumishi. Kupitia portal hii, watumiaji wanaweza kuwasilisha maombi ya ruhusa na likizo, kufuatilia maombi yao, na kupata taarifa muhimu kwa urahisi, haraka na kwa uwazi. Mfumo huu unalenga kuboresha ufanisi, mawasiliano, na usimamizi wa rasilimali ndani ya taasisi.
| TITLE | DOWNLOAD |
|---|---|
| JINSI YA KUOMBA RUHUSA/LIKIZO KWENYE MFUMO | PAKUA |